Friday, August 27, 2010

Utamwa


Mudibafu-kiziwi, au asiyetaka kusikia
Mnyalububwi-bubu
Ina miho-anaumwa macho
Ina kivangamutwe-ana kipandauso
Mwileme mwivava-tumbo linauma
Gatunite magulu-imevimba miguu
Ina Lugosi-anatatizo la sikio

No comments: